Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

Widget HTML #1

[DOWNLOAD] "Mahubiri juu ya Mwanzo (I) - MAPENZI ya UTATU MTAKATIFU Kwa BINADAMU" by Paul C. Jong * eBook PDF Kindle ePub Free

Mahubiri juu ya Mwanzo (I) - MAPENZI ya UTATU MTAKATIFU Kwa BINADAMU

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Mahubiri juu ya Mwanzo (I) - MAPENZI ya UTATU MTAKATIFU Kwa BINADAMU
  • Author : Paul C. Jong
  • Release Date : January 09, 2021
  • Genre: Christianity,Books,Religion & Spirituality,
  • Pages : * pages
  • Size : 1224 KB

Description

Katika Kitabu cha Mwanzo, kusudi ambalo Mungu alituumbia linapatikana. Wakati wasanifu wanapobuni jengo au wasanii wanachora ramani, kwanza huchukua kazi ambayo ingekamilika akilini mwao kabla ya kuanza kufanya kazi kwenye mradi wao. Kama hivi, Mungu wetu pia alikuwa na wokovu wa wanadamu akilini mwake hata kabla hajaumba mbingu na dunia, na aliwafanya Adamu na Hawa akiwa na kusudi hili akilini. Na Mungu alihitaji kutuelezea uwanja wa Mbingu, ambao hauonekani kwa macho yetu ya mwili, kwa kuteka mfano wa uwanja wa dunia ambao tunaweza kuona na kuelewa.

Hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, Mungu alitaka kuokoa wanadamu kikamilifu kwa kutoa injili ya maji na Roho kwa moyo wa kila mtu. Kwa hivyo ingawa wanadamu wote waliumbwa kutoka kwa mavumbi, lazima wajifunze na kujua Ukweli wa injili ya maji na Roho ili kunufaisha nafsi zao. Ikiwa watu wataendelea kuishi bila kujua utawala wa Mbingu, hawatapoteza tu vitu vya dunia, bali pia kila kitu kilicho cha Mbinguni.


Download Books "Mahubiri juu ya Mwanzo (I) - MAPENZI ya UTATU MTAKATIFU Kwa BINADAMU" PDF ePub Kindle